Serikali imeaza kufanya utafiti wa kuangalia manufaa yayopatikana kutokana na utekelezaji wa mpango wa kupeleka umeme viijijini.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Amos Maganga alisema utafiti huo unaofanywa kati ya REA wizara ya Nishati na Ofisi ya Taifa ya Takwimu umelenga kuzifikia kaya 12,600 kutoka mikoa yote 26 ya Tanzania Bara.
“Tunakwenda kufanya utafiti wa kuangalia manufaa ambayo jamii imeyapata kutokana na utekelezaji mpango wa kupeleka umeme vijijini ikiwa ni katika huduma za kijamii na kiuchumi," amesema.
Wednesday, November 27, 2019
Serikali kuangalia manufaa ya mpango wa kupeleka umeme viijijini
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment