Adbox

Saturday, November 23, 2019

Rais Magufuli awaapisha Mabalozi Watano

Rais wa Tanzania, Dkt. John Pombe  Magufuli awaapisha Mabalozi Watano watakaoiwakilisha Tanzania Bujumbura - Burundi, Cairo - Misri, Brussels - Ubelgiji, Riyadh - Saudi Arabia na Abu Dhabi - Falme za Kiarabu.Uapisho umefanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Adbox