James Maddison akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Leicester City dakika ya 75 akimalizia pasi ya Jamie Vardy aliyefunga bao la kwanza dakika ya 68 kwa pasi ya Youri Tielemans kwenye ushindi wa 2-0 dhidi ya Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power kipigo ambacho kinazidi kumuweka katika wakati mgumu kocha Unai Emery.
Sunday, November 10, 2019
Leicester City yainyanyasa Arsenal ligi kuu ya Uingereza
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment