Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kutaka Soko Kuu jipya la Dodoma kuitwa soko la Ndugai. Hatimae Spika, Job Ndugai ameibuka na kumshukuru.
Spika Ndugai ametoa shukurani hizo wakati akihitimisha Bunge la vijana 2019 lililofanyika kwa Kipindi cha wiki moja katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. ambapo amesema kuwa amefarijika pia.
“Namshukuru Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa kuliita soko Kuu jipya la Dodoma (Soko la Ndugai) nimefarijika sana ,“ Alisema Ndugai.
Saturday, November 23, 2019
Home
/
Top News
/
Baada ya Rais Magufuli kulipa soko Kuu la Dodoma 'Soko la Ndugai', Spika atoa neno
Baada ya Rais Magufuli kulipa soko Kuu la Dodoma 'Soko la Ndugai', Spika atoa neno
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment