Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Lindi wakati alipowasili shuleni hapo kukagu ujenzi wa jengo la shule hiyo, Oktoba 12, 2019. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa jengo la Shule ya Sekondari ya Lindi, Oktoba 12, 2019. Wa nne kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, Wa tatu kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi, Rehema Madenge na wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhamaga (wa pili kulia), Waziri wa Vijana, Utamaduni na Michezo wa Zanzibar, Balozi Ali Karume (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi (wa pili kushoto) wakati alipokagua maandalizi ya Uwanja wa Michezo wa Ilulu wa mjini Lindi kwa ajili ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Oktoba 12, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Sunday, October 13, 2019
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akagua ujenzi wa Jengo la Shule ya Sekondari ya Lindi
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment