Adbox

Monday, October 21, 2019

Wanamichezo washiki Tamasha la kutembea kwenye kamba

Wanamichezo  maarufu kama daredevils wameshiki tamasha la kutembea kwenye kamba iliyoninginizwa angani katika eneo la kivutio cha watalii cha Zhang Jiajie, ambapo filamu ya Avatar ilirekodiwa.

No comments:

Post a Comment

Adbox