Adbox

Wednesday, October 16, 2019

Taarifa kuhusu vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge Jijini Dodoma

Kamati za Kudumu za Bunge zitaanza kuchambua taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu hesabu za Serikali za Mitaa na Serikali Kuu zilizokaguliwa kwa mwaka wa fedha unaoishia Juni, mwaka jana.

No comments:

Post a Comment

Adbox