Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ruangwa mara baada ya ufunguzi wa barabara ya Nanganga- Ruangwa sehemu ya Kitandi-Ruangwa km 5 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha Lami. Kulia ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kuweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi wa Ghala la Mazao Ruangwa mkoani Lindi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wakiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi wa Ghala la Mazao Ruangwa mkoani Lindi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa naWaziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akiwasili Ruangwa mkoani Lindi leo tarehe 15/11/2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Nanganga- Ruangwa sehemu ya Kitandi-Ruangwa km 5 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango
cha Lami.
Tuesday, October 15, 2019
Rais Magufuli alivyowasili Ruangwa mkoani Lindi
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






No comments:
Post a Comment