Adbox

Sunday, October 20, 2019

Marcos Alonso aing'arisha Chelsea

Marcos Alonso akishangilia na Tammy Abraham baada ya kuifungia Chelsea bao pekee dakika ya 73 ikiilaza 1-0 Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge mjini London.

No comments:

Post a Comment

Adbox