Adbox

Friday, October 11, 2019

Makamu wa Rais azuru Hospitali ya Mkoa na kutoa onyo

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kuangalia changamoto mbalimbali zilizopo kwenye hospitali hiyo na kuuagiza uongozi wa hospitali hiyo kushughulikia na kusimamia vizuri matumizi ya fedha kwaajili ya mahitaji yaliyopangwa.

No comments:

Post a Comment

Adbox