Adbox

Tuesday, October 29, 2019

Maaskofu wa Kanisa Katoliki wapitisha pendekezo la kuwa na Mapadri walooa

Maaskofu wa Kanisa Katoliki Amerika ya Kusini wamependekeza kuwaruhusu baadhi ya Wanaume waliooa kufanya kazi za Upadri

Pendekezo hilo limepitishwa kwa kura 128 dhidi ya 41 zilizokataa, hata hivyo lazima Papa Francis apitishe pendekezo hilo.

Ruhusa hii itazihusu nchi za Bolivia, Brazil, Colombia, Ecuador, French Guiana, Guyana, Peru, Suriname na Venezuela. Katika nchi hizo imethibitika kuwa kuna uhaba mkubwa wa Mpadre

No comments:

Post a Comment

Adbox