Adbox

Thursday, October 24, 2019

Jerryson Tegete akabidhiwa tuzo

Jerryson Tegete amekuwa mchezaji wa kwanza wa Alliance kutwaa tuzo ya Emirate Aluminium Profile ya mwezi wa tisa tuzo inayotolewa na mdhamini wa timu ya Alliance Emirate Aluminium.

Mchezaji huyo amekabidhiwa tuzo pamoja na kitita cha laki tatu taslim na muwakilishi wa Emirate Aluminium Profile mkoani Mwanza Emanuel Shalal, mwezi wa tisa Tegete alifunga magoli mawili.

No comments:

Post a Comment

Adbox