Adbox

Tuesday, October 15, 2019

IGP Sirro ajiandikisha katika daftari la wapiga kura

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Sirro (kushoto) amejiandikisha katika orodha ya Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa Masaki jijini Dar es salaam huku akisisitiza kuwa, uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu.

No comments:

Post a Comment

Adbox