Adbox

Monday, October 21, 2019

Hizi hapa timu 16 zilizofuzu kucheza CHAN 2020

Timu zilizofuzu kucheza mashindano ya wachezaji wanaocheza ligi ya ndani (CHAN) 2020 yatakayofanyika nchini Cameroon.

Cameroon (Mwenyeji)
Tanzania
Uganda
Zambia
Rwanda
Namibia
Togo (Kwa mara ya kwanza)
Morocco
Zimbabwe
DR Congo
Congo
Tunisia
Burkina Faso
Guinea
Niger
Mali

No comments:

Post a Comment

Adbox