Mshambulizi wa Inter Milan , Alexis Sanchez huenda akakosa kuichezea klabu hiyo kwa muda wa miezi mitatu kutokana na jeraha alilopata akichezea nchi yake ya Chile dhidi ya Colombia siku ya Jumamosi.
Mchezaji huyo alieyejiunga na Inter Milan mwanzoni mwa msimu huu kwa njia ya mkopo kutoka Manchester United, alililazimika kutoka uwanjani mnamo dakika ya 88, mechi ilichezwa mjini Alicante nchini Uhispania.
Wednesday, October 16, 2019
Alexis Sanchez kukaa nje ya uwanja kwa miezi mitatu
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment