Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu, ameandika ujumbe wake wa kwanza kwenye mtandao wa Instagram tangu alipofunga ndoa leo (Jumamosi) mchana.
Kupitia mtandao huo Sugu ameweeka picha hiyo hapo juu na kuandika, "Mr & Mrs Joseph Mbilinyi... Sasa ni RASMI zaidi ❤️❤️... #JONGWE#MVMP."
Ndoa ya Sugu na mkewe Happiness Msonga imefanyika katika kanisa la Katoliki Ruanda.
Sunday, September 1, 2019
Home
/
Top News
/
Ujumbe wa kwanza wa Sugu baada ya kufunga ndoa na mkewe Happiness, "Sasa ni rasmi"
Ujumbe wa kwanza wa Sugu baada ya kufunga ndoa na mkewe Happiness, "Sasa ni rasmi"
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment