Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa jana amemteua aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Nduru kuwa mshauri wake wa masuala ya uchumi.
Profesa Nduru anaungana na wenzake 17 wanaounda baraza la wataalam wa uchumi linalomshauri Rais Ramaphosa.
Watu hao kutoka mataifa mbalimbali ikiwemo Afrika Kusini ni wabobezi katika uchumi wa kimataifa, uchumi mkubwa katika masuala ya kodi na fedha.
Saturday, September 28, 2019
Rais Ramaphosa amteua aliyekuwa Gavana wa BoT kuwa mshauri wake
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment