Adbox

Wednesday, September 25, 2019

Rais Magufuli afanya Uteuzi mwingine leo

Rais Magufuli amemteua Dkt Amina Msengwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kuanzia Septemba 19, akichukua nafasi ya Andrew Massawe ambaye amemaliza muda wake. Dkt Msengwa ni Mhadhiri na Mkuu wa Idara ya Takwimu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

No comments:

Post a Comment

Adbox