Adbox

Wednesday, September 25, 2019

Picha: Waziri Mkuu azindua kiwanda cha Maji Iringa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua kiwanda cha maji – Mkwawa kilichopo mjini Iringa, Septemba 25, 2019. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa, Mkuu wa mkoa wa Iringa, Ali Happy, Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda, Ahmed Huwel, Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Abel Nyamahnga, Naibu wa Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Iri ga, Richard Kassera

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza, Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha maji – Mkwawa, Ahmed Huwel baada ya kuzindua kiwanda hicho mjini Iringa, Septemba 25, 2019. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Iringa, Dkt. Abel Nyamahanga



No comments:

Post a Comment

Adbox