Adbox

Sunday, September 22, 2019

Granada yaiyadhibu Barcelona

Lionel Messi akiwa haaimini macho yake baada ya kipigo cha 2-0 kutoka kwa wenyeji Granada kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Nuevo Los Carmenes, mabao ya Ramon Azeez dakika ya pili na Alvaro Vadillo kwa penalti dakika ya 66.

Messi aliingia akitokea benchi kuchukua nafasi ya Carles Perez kipindi cha pili baada ya kuw anje kwa muda mrefu kutokana na maumivu.

No comments:

Post a Comment

Adbox