Adbox

Wednesday, September 4, 2019

BREAKING: Mahakama Afrika Kusini yaamuru ndege ya Tanzania kuachiwa

Mahakama ya Gauteng ya nchini Afrika Kusini imeamuru ndege ya Air Tanzania (ATCL) Airbus A220-300 iliyokuwa inashikiliwa nchini humo kuachiwa. Mahakama pia imemtaka mlalamikaji kulipa gharama za kesi hiyo.

Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abas amethibitisha hilo katika ukurasa wake wa Twitter hii leo.

Ndege hiyo ilishikiliwa nhini Afrika kusini kufuatia kesi ya fidia inayomhusu Bwana Hermanus Steyn wa nchi hiyo na Serikali ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Adbox