Adbox

Friday, August 16, 2019

Ziara ya Rais wa Afrika Kusini Chuo cha Solomon Mahlangu Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini,Cyril Ramaphosa yupo nchini kwa siku 2 kabla ya kuanza Mkutano wa SADC kwa mwaliko wa mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli.

No comments:

Post a Comment

Adbox