Adbox

Thursday, August 8, 2019

Wakati mwingine Microsoft husilikiza mazungumzo halisi ya Skype


Microsoft wakati mwingine husilikiza mazungumzo halisi ya Skype ambayo yametolewa na programu ya kutafsiri, ili kukagua ubora wake Kwa mujibu wa tovuti ya teknolojia ya Motherboard.

Hata hivyo kwa upande wao Microsoft imejitetea na kusema ina ruhusa ya watumiaji, kukusanya na kuchakata data zao.

No comments:

Post a Comment

Adbox