Rais wa Shelisheli, Danny Faure, amewasili Nchini na kupokelewa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam tayari kabisa kwa mkutano wa 39 wa SADC unaotarajia kuanza kesho.
Friday, August 16, 2019
Rais wa Shelisheli atua nchini kushiriki Mkutano wa SADC
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment