Adbox

Monday, August 12, 2019

Rais wa Afrika Kusini kutua nchini, JPM kumpokea

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa anatarajiwa kuwasili Nchini Jumatano ya August 14 kwa Mwaliko wa Ziara ya kitaifa (State Visit) ya siku mbili ambapo atapokelewa na Mwenyeji wake Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli.

No comments:

Post a Comment

Adbox