Mabalozi wa Tanzania Nje ya Nchi zaidi ya 32 wamewasili visiwani Zanzibar leo julai 19 kwa ziara maalum ya kutembelea miradi ya maendeleo Nchini ikiwa ni muendelezo wa ziara zao za kukagua Miradi mbalimbali ya kimaendelo inayotekelezwa Nchini.
Mabalozi hao wamewasili na boti ya saa Tatu Asubuhi wakitokea Jijini Dar es Salaam majira ya saa moja Asubuhi.
Monday, August 19, 2019
Picha: Mabalozi wa Tanzania na nje ya nchi wawasili Zanzabir kwa ziara
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment