Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (kulia) na Meneja Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Bw. Alex Mubiru wakibadilishana hati za mikataba ya mkopo wenye masharti nafuu wa Dola za Kimarekani milioni 180, sawa na Shilingi bilioni 414 kutoka benki hiyo kwa ajili ya ujenzi wa barabara za pete (ring road) ama mzunguko kwa kiwango cha lami umbali wa kilometa 110.2 na uboreshati wa miundombinu katika Jiji la Dodoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (wa pili kulia) na Meneja Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB, Bw. Alex Mubiru wakitia saini makubaliano ya mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa USD milioni 180 ambazo ni sawa na Shilingi bilioni 414 kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kwa ajili ya ujenzi wa barabara za pete (ring road) kwa kiwango cha lami umbali wa kilometa 110.2 na uboreshaji wa miundombinu katika Jiji la Dodoma
Tuesday, August 20, 2019
AfDB yatoa mkopo wa Bilioni 414 kujenga barabara za mzunguko Dodoma
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment