Adbox

Sunday, July 7, 2019

Zari mbioni kueleza yote kuhusu Diamond Platnumz


Mrembo Zari The Bosslady amewataka mashabiki wakae mkao wa kula kwani yupo mbioni kufanya mahojiano maalum kumlipua Diamond Platnumz kwa alichodai watu wamelishwa maneno ya uongo juu yake kisha kuyaamini

Zari amefunguka hilo wakati akimjibu shabiki aliyemtupia furushi la lawama ni kwanini anawazuia Princess Tiffah na Prince Nillan kuwa karibu na baba yao shabiki huyo akisema Zari anatengeneza uadui wa baadaye kati ya baba na watoto.

Mahojiano hayo Zari ameahidi ataifanya na vyombo vya habari vya Tanzania ingawa hajaweka wazi ni lini hasa atafanya hivyo.

No comments:

Post a Comment

Adbox