Adbox

Saturday, July 27, 2019

VIDEO: ''Wapinzani watapata tabu sana'' Ali Kingi


Mbunge wa Jimbo la Jang'ombe (CCM, Ali Kingi amefunguka kuhusiana na hali ya kisiasa nchini ambapo amesema vyama vya upinzani vitapata tabu sana kutokana na uchapaji kazi na kukubalika kwa Rais Magufuli kwa wananchi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE




No comments:

Post a Comment

Adbox