Adbox

Wednesday, July 31, 2019

VIDEO: Mzee Mwinyi aibuka na mambo matano



Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaji Ali Hassan Mwinyi amewaomba Watanzania kutii mamlaka yaliyowekwa ili kuhakikisha amani inaendelea kudumu nchini huku akiwataka wanasiasa kufanya siasa safi na iliyo bora kwa manufaa ya taifa.

No comments:

Post a Comment

Adbox