Wizara ya afya ya nchini Uganda imedhibiti kuenea kwa ugonjwa hatari wa Ebola katika wilaya ya Kasese.
Watu wote waliokuwa wakihofiwa kuwa na ugonjwa huo wamekamilisha muda wa siku 21 bila kuonyesha dalili zozote, taarifa iliyotolewa na wizara ya afya na WHO imesema.
“Kwa sasa hatuna wagonjwa wa ebola au yeyote anayeshukiwa kuwa na ugonjwa huo,” taarifa hiyo imesema
No comments:
Post a Comment