Adbox

Tuesday, July 9, 2019

Soka barani ulaya katika club ya chelsea

Kinda wa klabu ya Chelsea Callum Hudson-Odoi, inaaminika kwamba yupo tayari kusaini kandarasi mpya ndani ya klabu ya Chelsea.

Hudson-Odoi inaelezwa kuwa amechukua hatua hiyo baada kuhakikishiwa muda wa kucheza na kocha mpya wa Chelsea Frank Lampard.

Kinda huyo ana miaka 18 kwa sasa yupo tayari kusaini kandarasi mpya ndani ya kikosi hicho na kusitisha mpango wake wa kutimkia Bayern Munich.

No comments:

Post a Comment

Adbox