Adbox

Wednesday, July 10, 2019

Ole Sendeka aliamsha sakata la CAG

Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Olesendeka ameiagiza halmashauri ya mji wa Njombe kuwachukulia hatua watumishi waliosababisha hasara na hoja za mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali  (CAG) zisizokuwa za lazima.

No comments:

Post a Comment

Adbox