Naibu waziri wa mambo ya nje wa Urusi, Sergey Ryabkov, ameionya Marekani kwamba endapo itakiuka mkataba wa INF na kuleta silaha za nyuklia za masafa ya kati barani Ulaya, Urusi inaweza kuchukua hatua.
Ryabkov alikuwa akiongea na wanahabari jijini Moskow kuhusiana na makubaliano ya INF.
Ryabkov alisema kitendo cha Marekani kuleta silaha zilizokatazwa na mkataba wa INF barani Ulaya kitazua utata mkubwa, kwani

No comments:
Post a Comment