Adbox

Friday, July 5, 2019

Msanii wa muziki Marekani kuchuana na Trump uchaguzi ujao


Msanii wa hip hop nchini Marekani,Young Thug, ametangaza nia yake ya kutaka kugombea uraisi wa nchi hiyo ifikapo mwaka 2024.

Rapa huyo ametangaza uamuzi wake baada kupitia mtandao wake wa kijamii wa Twitter, ambapo amesema,"nina nia ya kugombea Urais 2024, Gunna atakuwa makamu wangu wa Rais".

Msanii mwingine aliewahi kutangaza nia ya kuwa raisi ni rapa Kanye West, kutokana na kuwa karibu na Rais wa sasa wa nchi hiyo Donald Trump.

No comments:

Post a Comment

Adbox