Kocha Mkuu wa Simba SC, Patrick Aussems amezungumzia mchezo wa jana wa kirafiki dhidi ya Orbret TVET ambao kikosi chake kiliibuka na ushindi wa magoli 4-0.
Katika mchezo huo, Mabao ya Simba SC yalifungwa na Nahodha na mshambuliaji tegemeo, John Raphael Bocco dakika ya tisa na 28, kiungo Hassan Dilunga dakika ya 23 na mshambuliaji mpya, Wilker Henrique da Silva kutoka, Brazil dakika ya 30.
“Ni sehemu ya maandalizi nikitaka kuangalia nini tumefanya kwa siku zilizopita na hasa eneo la ulinzi. Tumeshinda magoli manne lakini sijali kuhusu hilo mimi nataka maendeleo ya timu”- alisema Kocha huyo.
Simba SC imeweka kambi mjini Rusterburg, Afrika Kusini kujiandaa na msimu mpya na itaanza na Ligi ya Mabingwa Afrika kwa
No comments:
Post a Comment