Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UVCCM), Kheri James amesema kuwa chama cha ccm ni imara na madhubuti na kikotayari kuifanya kazi ya kuwatumikia watanzania na kujenga ustawi wa taifa letu na kazi hiyo kimeifanya tangu uhuru na kinaifanya sasa na kitaendelea kuifanya mpaka milele ambapo amesema kuwa kama kuna mbinu mia moja ya kutawala mpaka sasa ccm imetumia mbinu tatu bado mbinu tisini na saba, na kinyago tulichokiconga wenyewe kamwe hakiwezi kututisha.
Monday, July 29, 2019
''Kinyago tulichokichonga wenyewe kamwe hakiwezi kututisha'' Khery James
Tags
# Top News
About Sultan Mapigo
SULTAN MAPIGO: Kuwa wa kwanza kuhabarika, Tafadhari usisahau kusubscribe kushare na kucomment
Top News
Tags:
Top News
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment