Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran siku ya jana ilimwita balozi wa Uingereza Tehran, Robert Macaire, kufuatia kukamatwa kwa meli ya mafuta ya Iran kinyume na sheria katika kisiwa cha Gibraltar.
Wizara hiyo ya Iran ilisema kuwa kukamata kwa meli hiyo ya mafuta ni kinyume na sheria.
Jeshi la wanamaji wa Uingereza lilikamata meli hiyo ya mafuta ikituhumiwa kwa kupeleka mafuta nchini Syria ikiwa ni hatua ya kukiuka vikwazo vya Umoja wa Ulaya, kitendo ambacho kinazua hofu ya kuongeza mgogoro kati ya nchi za Magharibi na Iran.
No comments:
Post a Comment