Adbox

Monday, July 15, 2019

Hiki ndio kikosi cha Taifa Stars kwaajili ya mchezo wa CHAN, Kaseja ndani

Kaimu Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Etiene Ndairagije ametaja kikosi cha Wachezaji 26 kitakachojiandaa na mchezo wa CHAN dhidi ya Kenya. Taifa Stars itaingia Kambini Julai 21,2019 Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Adbox