Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe katika kuhakikisha wananchi wanapata maendeleo, amegawa fedha kwa kila Kijiji kama inavyoonekana hapa chini. Pesa hizi zimewekwa kwenye akaunti ya kila kijiji husika.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Mbunge huyo, Irene Lema imeeleza kuwa fedha hizo ni katika kutekeleza ahadi zake za kuwaletea maendeleo wananchi wake.
No comments:
Post a Comment