Adbox

Friday, July 19, 2019

Finland yaipatia Tanzania msaada wa Tsh. Bilioni 24

Finland imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 9.4 sawa na zaidi ya shilingi bilioni 24 kwa ajili ya utekelezaji wa Awamu ya Pili ya Program ya Panda Miti Kibiashara.

Mkataba wa msaada huo umetiwa saini Jijini Dar es Salaam kati ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James, kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Kaimu Balozi wa Finland hapa nchini Bw. Kari Leppanen

No comments:

Post a Comment

Adbox