Klabu ya Chelsea imefanikiwa kuishushia kichapo cha bao 2-1 klabu ya Barcelona katika mchezo wa kirafiki ulipigwa Japan.
Bao la kwanza la Chelsea lilifungwa na mshambuliaji wake aliyekua kwa mkopo msimu uliopita Tammy Abraham na la pili likifungwa na Ross Barkley wakati lile la Barca likifungwa na Ivan Rakitic.

No comments:
Post a Comment