Katika taarifa iliyotumwa na TFF kwa vyombo vya Habari leo, imeandikwa kama ifuatavyo:-
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” Emmanuel Amunike tumefikia makubaliano ya pamoja kusitisha mkataba baina yetu.
TFF itatangaza Kocha wa muda atakaekiongoza Kikosi cha Timu ya Taifa kwa mechi za CHAN.
No comments:
Post a Comment