Algeria imefanikiwa kunyakua ubingwa wa kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kuiondoa Senegal kwenye fainali za michuano hiyo ilipoifunga bao 1-0.
Bao hilo la ushindi lililopatikana katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo na lilifungwa katika dakika ya pili na mshambuliaji wa Algeria Baghdad Bounedjah.


No comments:
Post a Comment