Adbox

Monday, May 20, 2019

Magufuli alivyomleta Kikwete na Alihasan Mwinyi kutoa neno "Swaumu Imemchosha"(+video)


Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza mbele ya Rais Magufuli “Kuja kwako kunathibitisha mshikamano uliokuwepo katika Taifa letu. Waislam na Wakristo tunaishi nyumba moja, tunaishi nchi moja, hatubaguani na ndio mazoea yetu. Sisi DSM hapa tunaishi nyumba za vyumba sita…cha kwanza kuna Waislam, cha pili kuna Wakristo kingine kuna mwingine bado hajafungamana na upande wowote”

JE WAFAHAMU WATU WENGI MAARUFU DUNIANI WALIOZALIWA TANZANIA?

No comments:

Post a Comment

Adbox