Coastal Union iliyo chini ya Juma Mgunda inakumbukumbu ya kufungwa mchezo wa kwanza na Yanga Uwanja wa Uhuru bao 1-0.
"Kikubwa ni maandalizi na kupoteza mchezo wetu uliopita inaumiza ila matokeo ya mpira yapo namna hiyo wapinzani wanapambana nasi ni lazima tupambane, mashabiki watupe sapoti," amesema.
Coastal Union ilifungwa mabao 2-1 na Ruvu Shooting kwenye mchezo wao wa ligi ulipita itamenyana na Yanga iliyopata sare ya kufungana bao 1-1 na Polisi Tanzania.

No comments:
Post a Comment