Adbox

Wednesday, October 23, 2019

Kamati ya Haki za Wasanii yazinduliwa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Mwakyembe leo amezindua kamati maalum kwaajili ya kusimamia haki za kazi za wasanii.

Mwenyekiti wa Kamati hiyo atakuwa ni Sarah Nsangizyo Zilahulula na Katibu wake atakuwa ni Dkt. Kiagho Kilonzo ambaye ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania (TFB).

Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, Dkt. Mwakyembe ameitaka kamati hiyo kufanya kazi kwa weledi ili kuhakikisha wasanii wanafaidika na kazi wanazozifanya badala ya kudhulumiwa.

No comments:

Post a Comment

Adbox